Sunday, 3 March 2013

Wakenya msilale 5a.m Muwe inje kuona kila kitu kiko sawa

Wakenya tusilale tukilala tutalala milele kenya hatutaikomboa kutoka kwa mikononi mwa wachache ambao wametuangaisha tangu 1963.

Kumbukeni Jomo Kenyatta alivyo jilimbikizia mali na kuwasahau masikini familia za wengi ziko hivi kutokana na alivyo anza hivi hivi maneno mazuri aliyatoa lakini hakuna jema alilolifanya.

Sikiza hutuba zake aliongelea akutukakua ukibila

Je ukabila upo KENYA

Sote tumeshuhudia miaka 50 ya dhuluma uporaji wizi kushoto kulia juu chini kila mahali imekua mkenya akingia anafikiria atakavyo jitajirisha

Hali hii tutaepukana nayo tukimuchagua Rais mwenye utu kesho

No comments:

Post a Comment