Thursday, 21 March 2013

PIGENI PICHA NAKUZITUMA KWA FACEBOOK

    WAKENYA JIPIGENI PICHA NA MUZIWEKE KWENYE FACEBOOK MUSIKUBALI KUFA KIMYA KIMYA HUU NIU UBADHIRIFU MUKUBWA SANA SIO SOTE WAKENYA MAZUZU TUKATAE HALI HII.
       ILA USIENEZE UWONGO CHOCHOTE KILE KITATUWEZESHA KUPATA HAKI WEKENI KWA FACEBOOK,NA UKIONA MTU YEYOTE ANAEONGELEA VIBAYA CORD MU BLOCK JUST BLOCK HIM/HER ATA USIMUJIBU

No comments:

Post a Comment