Saturday, 30 March 2013

Raila tu ndio mtu Mafisadi wameshindwa niye

    Chuki nyingi ya mafisadi kwa Raila nikua yeye hana rafiki na mnyang'anyi ukiwa mtu na kashfa basi hawezi kapiga simu uwachiliwe lakini ukionewa kama vile Charity Ngilu alivyo onewa basi yeye usimama nawewe mpaka mwisho

No comments:

Post a Comment