Monday, 20 August 2012

Nicholas Biwott miongoni mwa matajiri Kenya ambae ni muhusika mkuu wa kifo cha Ouko
Mwai Kibaki hakutumia vita ili aapishwe lakini mafisadi wanao muzunguka ndio walipanga kutumia vita ili Raila asiwe Rais ye nimsafi na akuna mahali ICC itamupeleka,wana mzunguka ndio wanamutia hofu lakini hana kosa makosa niya wengine na twawajua kwa majina yao
Siajabu kua Raila nitishio la walio na dosari kwa walivyo pata mali yao,Ye uwa hana Rafiki na Kenya trataka mtu kama uyu ilikusafisha Kenya watu wawache kulindana na kubebana mna habari wengi wa viongozi wanao mupinga Raila sikwalingine ila ni kotokuwa na urafiki na mtu anapo tambulika kua anadosari?Wengi wakoteyari kutumia kila mbinu Raila asiwe Rais,Ndipo twajiuliza kuna nini apa?Iko kitu ambacho wengi wana ficha na hii nikweli,Kutokana na marehemu alipinga vikali Raila kuwa Rais.

Sijajua kwanini Michuki aliogopa Raila Amolo Odinga kuchukua urais ivyo,Je kuna yeyote anaejua sababu ya Marehemu John Michuki kuogopa kiasi cha kupata mshituko wa moyo?
Mombasa ni mji jiji au iite utakavyo iita nimefanya utafiti wangu nikapata pwani yote wakua wakipitia unyanyasaji baridi tangu 1964.

Enda uko uulize Rais wa kwanza Jomo Kenyatta aliwafanya vipi na ukitaka ukweli kusanya watu si chini ya 100 wazee uwaulize walipitia yapi mikononi mwa Jomo Kenyatta.

Utawawa uzunikia kusema kweli, msemo wa "Pwani si Kenya "ndio unamakosa lakini madai yao yana ukweli asilimia 95% watoe ilo neno Pwani si Kenya tu ili wapate ungwaji mkono wa asilimia 100%

Cha ajabu vigogo serikalini wame kwenda mbio kuzima maamuzi ya mahaka kua MRC ni halali.

Twende mbele na kurudi nyuma mna Habari kua "Mungiki" ni kikosi kizima ambacho kina silaha kushinda askari wetu(polisi)?mnazo habari hizo au mumelala?Wale mnao waona wakionyeshwa kwa vyombo vya habari na mapanga na marungu sio uwa kunawengine wana bunduki na ata nguo za Polisi.

Na hakuna yeyote anae weza kuwa gusa kwakuwa wanabaraka za wakuu serikalini.

Mungiki aijanza leo wala jana au juzi ni kundi lilo anza miongo mingi ilio pita na kazi yao kubwa ni kuakikisha tumetazama mlima Kenya.

MRC Hawana silaha nana mpongeza jaji alio wapa ruhusa yakuunda chama chao.Hil wanalo liongelea ndio iloilo ambalo wanalo ila jamii fulani uongea mchana mengine na kupanga usiku mengine.

Naongelea wezetu hawa wakikuyu enda sehemu yote wako lakini kwao hawawezi kuku wacha ukakaa kwa imani,uo ni ukweli kataa kubali,

Chukuwa wakati wako utembee popote ulipo naujionee hii sio "hate speech" lakini ni ukweli ulivyo.

Nidungu zetu hakuna mahali wanapo kwenda lakini nivyema kuwajua hali halisi yao ilivyo ilitujiadhari nao ua na maneno matamu lakini kilicho moyoni mwao nikitu kingine ilo tambua.

J.M Kariuki sijui alikua vipi kwakuwa alipenda mema kwa wengine nae walimuuwa kwa ukatili wa hali ya juu,

Yasemekana J.M Kariuki kwa mikutano yakuchangisha pesa maarufu kama (Harambee)alikuwa akitoa kikweli na hali hii haikumupendeza Kenyatta iwapo kwa unafiki alijifanya kusaidia hivi mnavyo muona mama Ngina Kenyatta anavyo wafanya wamasai kumuona kua anawasaidia na hali niku wa danganya tu
kama nikusaidia angesaidia sio uchaguzi ukikaribia ila nikwa wakati wote MRC shikeni ya chama chenyu ondoeni neno pwani si KENYA baraka zangu kwenyu
Hassan isia zangu zanipelekea kuwa we rahisi sana kutazama mlima kenya au kubadilishwa kwa kutumia pesa.Usia wangu kwako,Jitengenezee sifa kama za mandela na sio kama za Jomo Kenyatta,Madiba, au ukipenda Nelson Mandela atakumbukwa milele daima kwa uzuri na Kenyatta atakumbukwa daima kwa kumumaliza J.M Kariuki,Tom Mboya,Pio Gama Pinto,Lakini ili uelewe Samuel Kivyuitu ndio uelekezo mzuri mikono yake ina damu za wakenya 1300 iyo kataa kubali nakutaadharisha mwenzangu simamia haki ilivyo usifuraishe binadamu yeyote na ushukuru  mshahara wako unao pata,

Najua umezungukwa na vibaraka wa mafisadi lakini mfuraishe MUNGU na usikubali kumufuraisha shetani simamia ukweli ili ataukiwa kaburini ukumbukwe daima milele kama mtu alie simamia uchaguzi kwa njia ya haki isio kua na upendeleo

Mal wa bani zinatul dunia al baki saliati ikiwa na maana mali na watoto nimapambo ya dunia yalio mema ni kutenda mema usirubuniwe kwa lolote.

Mafisadi twajua ndio wanao tawala toka 1964 mpaka waleo ukipewa pesa chukua lakini weka kando usizile wala kuchanganisha na mshahara wako.Lakini uchaguzi ukipita toa izo pesa kwa mayatima usilishwe moto Hassan.

Kwanini na kwambia uchukue hii nikua mafisadi serikali ni yao na watakufanya walivyo mfanya PLO Lumumba alitumiwa Besire,Na Nancy Baraza nae katumiwa yule mwanamuke.
Apa Samuel Kivuitu anatangaza kwa KBC TV ya Taifa matokeo,Uku akijua kwamba damu itamwagika,ivi mtu kama huyu umuelewe vipi?Umri wake siwaku'uwa binadamu zaidi ya 1300.Ngilu siku hiyo alimusii KICC achunge watu wasiuwane.Na akaenda kutangaza kwa idhaa ya KBC.
     Wakenya mimi si mjaluo lakini kutokana na historia ilivyo Raila ameangaikia Kenya hii sana na sioni ubaya yeye kupewa uongozi tena mumupe uongozi 80% ili atuonyeshe ufundi wake.
   Iwapo atakosa kutimiza yote alio tuahidi tunamtoa na kumuweka mtu mwengine.Wote nihaohao wabaya wetu na ushirikiana kwa kujiongezea mshahara na kutoa vipegele fulani zinazo walenga mafisadi.Lakini Raila tu ndio mtu ambae anaukweli kidogo kwakusema wazi kwamba hakuna uadui kwasiasa.
       Mapinduzi ya 1982 kama yeye aliusika mbona awaja mchukulia hatua apo mbeleni?Wabaya ni wengi ambao lao ni kupaka wengine matope.
       Tumuogope MUNGU na tuone ukweli ulipo,jiulize ivi kwanini wabaya wote wamekusanyika kumupiga Raila vita.
      Mwenye macho ambiwi tazama bali ujionea.Na siajabu Issack Hassan akawa zaidi ya uyu ogopeni mtu anae weka pesa mbele,muogopeni kama vile ugonjwa wa ebola unavyo ogopewa.

Thursday, 2 August 2012

Mtetea Mwizi nae ni mwizi

Wakenya yataka tujue kuwa kuna sirikali ilio kwa serikali mwajua Pro Sam Ongeri kwanini abanduki ng'o atamufanye nini nikwakuwa yeye ula nao hao na anajua pakumushika Kibaki japo ange mubadua ndio maana kulindana kuko,Kenya haiko salama kabisa.Ongeri musimuone kua ujeuri wake anautoa wapi hii nikutokana na kua anajua siri nyingi za Kibaki ndio maana ukiona mtu alio chiniyako kwa kazi akiwa mjeuri usidhani kua ninguvu zake ni nguvu za alio juu yako ndio zamufanya ivyo.
Sam Ongeri hakujua yakuwa Kibaki na Raila wote ni sawa(draw)akuna alio juu yamwengine lakini Raila hakutaka malumbano zaidi ndiomaana akanyamaza usemwa funika kombe mwana haramu apite.
Imejitokeza wazi kua mazingira anayo fanya nayokazi Raila nimagumu sana kwakuwa watu wamrengo ule wakutotaka mabadilko wamekuwa waki nunua wafanya kazi kwa Raila ili kumuvuruga akili.
Adui alio inje ya nyumba yako si hatari kama yule ambae yuko ndani.Ebu fikiria mtoto wako akinunuliwa kukuaribu wewe atashindwa au mfanyakazi wako?
Ni ajabu ata waleo Raila ajawekewa sumu na kufa.
Iko kwa kumbukumbu zetu hii ya Ongeri na Ruto kusimamishwa kazi

UKIWA MPENDA YA MUNGU UTASEMA UKWELI KUWA RAILA NI MKWELI SOTE NIBINADAMU NA TUNAMAPUNGUFU YETU LAKINI HAPA KWA ONGERI RAILA ALIFANYA VYEMA

Pro Ongeri atakumbukwa kwa kuwezesha watoto wafamilia masikini kujiunga na kidato cha kwanza jambo ambalo limefanya tumufutie thambi ya wizi aliotajwa nayo

KALEMBE NDILE KAPONEA CHUPU CHUPU

Ukiwa msema kweli watu wengi watakuchukia hii stori ya degree ilimulenga Kalembe ndile na kama tujuavyo hasimu wake mkuu ni makamu wa Rais Kalonzo Musyoka kuna tetesi ye ndio alimupandishia daraja kalembe mwajua mambo ya kalonzo uwa chini ya mukeka.Kina Uhuru na Ruto walimutengemea akatembea na kutembea mwisho wakapelekwa ICC tena harakahahahaha msicheze na mpita katikati wanubi usema mwenye matakombili.
Uyu Kalembe Ndile asha ponea chupuchupu hahahaha kwa mukutano wa Kalonzo uko kitui ebu mulizeni ilienda vipi ndio mjue vipi au nani ni nani kenya hii

Amos Kimunya atatumaliza kabisa

Mzee wa 10% atatumaliza mara hii ye kila mahali akishika lazma apatate % zake.Mnakumbuka 14-seater ilienda vipi kama sio hongo aliopewa niwenye magari?Gari kubwa zingepunguza ajali zaidi lakini utapata Kimunya yake ilikuwa nikutingisha pesa zitoke,Kimunya Kibaki ndio anakubeba na sijui wakenya tutakukumbuka kwa yepi mazuri Michuki pamoja nakuwa naukikuyu lakini alijisafisha na sheria za michuki ivi uoni aibu kila sehemu ukipewa unavuruga(boronga)?vipi wewe kweli we ni binadamu au mfano wake.Unamuchafulia jina Kibaki amuka na uweke nidhamu barabarani piga marufuku 14 seater leo na sikesho,au una biashara zako?

Mwangi Kiunjuri

Atakumbukwa vyema kwakutumiwa ni viongozi wakamba kumuaribia sifa Ngilu,Apa ana andamana na Uhuru,Kibaki na wengine kwa siasa za kupigia debe PNU,Assistant minister for public works,Ina uzunisha kuona kenya sisi wakamba ndio tumeweka rekodi kwa kumunyonga mtu kwa juhudi zake zuri ambazo watu badala tumupongeze Ngilu kwa kazi yake zuri basi ambao uwa nakichinichi uwa wana mchimbia kaburi na hali bado yu hai kisa na sababu yeye  ameungana na mpenda mabadiliko 2013,Wengi hawakujua kua Mwangi Kiunjuri alitumwa ni vigogo fulani serikalini ili ahararibu sifa za NGILU lini wakenya tutawacha tabia hii ya kupakana matope?

Kabando wa Kabando

Kabando wa Kabando uyu msee pia sijakamilisha utafiti wangu,Wakenya! nawaomba kwaheshma nataadhima munipe ushirikiano wenu,nimewacha kulaumu wakikuyu kwa ujumula mtu na mchambua kama yeye alivyo hii nikutokana na marehemu J.M Kariuki baada ya kunijia ndotoni mara 3
Peter Kenneth alizaliwa 1965 na shida tulizonazo apa Kenya ni za toka 1964 ametokaka kwa familia ya muhuni(mbari ya muhuni)National planning and vision 2030 Assistant minister,Ye hali yake bado naifanyia utafiti na ivi karibuni nitatoa kamili,Nazingatia sheria maandiko matakatifu ya kuwa usimusingizie mtu kitu.
Ukisema kitu uwe na ukweli nao nasihaki ya mtu kuongea juu ya mtu lakini kama kitu kinahusu jamii lazma uongee kwa faida ya wengi ivyobasi viongozi lazma tuwajadili kiundani zaidi ili kuepusha uongozi mubaya kama ule tumekuwa nao tangu 1964,
Nasimwengine ambae twafaa kumu laani ila Babake na Uhuru Mzee Jomo Kenyatta

Sheria ya Mututho

Sio vizuri kuto toa sifa pale ambapo mtu amefanya vyema,Mtutho sheria hii yake ilikuwa nzuri japo watumiaji awakubaliani nami,kwa hili namupongeza