Thursday, 21 March 2013

Nivizuri tukawekana wazi Wakenya

       Nivizuri wakenya kuwekana wazi,Kenya ni nchi inaoendeshwa ni kundi ndogo moja ambao wameharibu mamboenya sana ata imefikia kiasi yakujutia Ayati Mzee Jomo Kenyatta kua Rais wa kwanza apa Kenya.

        Niwazi kua hakuwa na nia njema na wakenya Rais wa kwanza nchi hii aliiba na kupora kila kitu,Sipitali hazitoi huduma kwa raiya,

        Siku kabla 1963 kulikua na mambo mengi mazuri huduma kama mabasi ya Kenya Bus Service marufu kama KBS zilitusaidia sana,lakini leo hili sherika limemilikiwa ni watu fulani tu.

   

No comments:

Post a Comment