Thursday, 28 March 2013

Mtu kama uyu atufai Kenya kabisa

Inaeleweka vyema kua kuna watu si wazalendo kabisa.Nafikiri sasa tunawajua vizuri nani ambao walio fasidi hii nchi.
   Abdulai niwazi sio vile tulitarajia,Na muogopena sana mtu yule aweza fanya hii Kenya iwe Somali.

Apa kwa hii kesi ni wazi wakili wa IEBC Wana baraka ya Rais Kibaki,ata oneni wanavyo ongea kwa madharau na kejeli

No comments:

Post a Comment