Friday, 22 March 2013

SERIKALI IKAE IJUE IWAPO WATATUZUIA KUPATA HABARI RASMI BASI TUTAPATA ZISIZO RASIM

    Niwazi pamoja na baadhi ya wanahabari kupewa pesa kuficha ukweli serikali imekua ikitishia vyombo vya habari ili zisitoe ukweli kama ulivyo.

      Sasa basi tusilaumiane tukipeana habari zisinzo kua rasmi,kwakua ni haki yetu wakenya kupata na kutoa habari

No comments:

Post a Comment