Saturday, 30 March 2013

KABLA MDA WAKO WA KUISHI APA DUNIANI HAUJAISHA HAKIKISHA UMEITENDEA JAPO JAMBO MOJA LAKUKUMBUKWA

Kabla mda wako wa kuishi apa duniani haujaisha hakikisha umeitendea japo jambo moja lakukumbukwa nalo ulilolitendea nchi yako.

     Yaweza kua si nchi ata mtu ukimusaidia ni jambo ambalo utakumbukwa nalo,sivizuri kufa na ukasifiwa  na baada ya kuzikwa ukasaulika.

    Kaa japo dakika moja na utafakari wangapi mashujaa tunao wakumbuka  na walikufa miaka zaidi ya 500 iliopita.Nivizuri kuwacha historia njema,isiwe utakumbukwa kama anavyo kumbukwa Mzee Jomo Kenyatta kuwa uwa J.M Kariuki,Tom Mboya na Pio Gama Pinto

No comments:

Post a Comment