Sunday, 3 March 2013

Plan ahead

     Lets plan ahead and think ahead kenyans msitake turudishwe tuliko toka timu ya Uhuru ufanya mambo mengi kichinichini.

     Watu wengi walio na Raila anawawinda na kutoa ofa zakutia tamaa hili mujue ili muelewe yeye Uhuru alidhani akiwapata wote walio na Raila amefaulu lakini MUNGU NI MUKUBWA.

BADO RAILA ANADUNDA

No comments:

Post a Comment