Sunday, 3 March 2013

Mungu atamulipia kwa yeyote mwenye kinyongo na Raila Amollo

     Mungu ulipia mtu ambae  amejitolea kwa umma na muangalieni Uhuru na Ruto mwisho wao ila nawaonya wasilie na Raila kwakua mwiba wa kujichoma uwambiwi pole.

      Kila mchuma janga ula na wakwao lakini ili limekula kwako wewe Ruto tunakutizama na inzo lugah zako.

    Ruka ruka kama mwewe uku na kule wanawadanganya lakini mtakiona,mtu mwenye kumujua MUNGU ATASEMA UKWELI NA UKWELI NI KUA RAILA ANAFAA KUWA RAIS

No comments:

Post a Comment