Saturday, 30 March 2013

Wana nchi wasinyimwe haki yao kwa kushindwa kusimamia kanuni

Wananchi wasinyimwe haki yao kwa kushindwa kusimamia kanuni,Serikali ndio ina majukumu ya kusimamia sheria lakini hao hao serikali wana fanya fujo ndio wapate sababu ya kupiga na kutupia watu vitoa machozi.

   Polisi ni jukumu lao kuona mandamano ni ya amani,David Kimaiyo awache kutishia watu,hio ni kazi yake kuakikisha mandamano yatakua ya Amani,sio kuzuiya watu kufanya maandamano

No comments:

Post a Comment