Sunday, 3 March 2013

Hakuna marefu yasio kua na ncha

   Kila kitu kina mwisho wake wakenya tumuombee Mungu sana Raila Amezungukwa ni maadui kila sehemu.

  Natujue hii yote ni kwa wakenya kwakua yeye nimtu wakutetea masikini na hali hii mafisadi hawapendi kabisa.

   Waseme nikwanini hawataki Raila awe RAIS

HUU NI UKABILA ULIO WAZI

No comments:

Post a Comment