Sunday, 3 March 2013

KUNA WATU KENYA SIWAZIMA AKILI ZAO ZINATAKA ZIPIMWE

     Watu wengine hawatabiriki uku hawako nakule hawako yaani kutokua na musimamo nijambo baya sana.
   Nawengine maneo wanayo tumia nikama hawaelewi sisi niwatu na akili zetu na tumeshuhudia mengi mazuru alio yatenda Raila.

    Mtu akifanya vizuri unamutunuku ivyo wakenya twataka mpaka afe ndio tumupe sifa tele tele,la asha mulipeni akiwa bado hai na mumupe

     URAIS KESHO

No comments:

Post a Comment