Friday, 1 March 2013

ID NI MUHIMU

Sekta hii ya vitambulisho ni muhimu sana na mtu lazma apewe kitambulisho bila ya usumbufu waina yeyote.

Minamulaumu sana Otieno Kanjwang' yeye kuzembea kwa kutoa vitambulisho mpaka watu wame fungiwa nje kwa kukosa kua na vitambulisho.

Nimuhimu kila mmoja ashirikishwe kwamaslai ya Taifa sote twajuana na akuna mtu amujui mwenza ke aliko zaliwa

Ivyo basi tujitahidi kuwapa vitambulisho wote ambao hawakupata

No comments:

Post a Comment