Saturday, 2 March 2013

Mkikuyu awenza omba kura popote kenya na akapewa lakini swala hilo ni lingumu sana kwa kabila lengine kupata kiti chochote Kikuyuni

     Niukweli usio fichika kua akuna mtu kutoka kabila lengine lolote aweza chaguliwa Nyeri,Kiambu, au Katundu uwezi pata kiti icho wakenya kuweni macho namujue sana.

    Dawa ya ubaya ni kumuchagua Raila Amollo Odinga

No comments:

Post a Comment