Thursday, 21 March 2013

Hamujambo?Nimatumaini yangu nyote muzima

    Wakenya nataka kuwajulisha yakua nimekua katika hali ngumu sana kusiana na hii blog yetu ya ukweli wamejaribu sana kuzima juhudi zangu hizi lakini MUNGU NI MWEMA.

     NATAKA KUWAJULISHA YAKUA NITAZIDI KUWAA UKWELI ATAKAMA IKIBIDI KUPOTEZA UHAI WANGU.

      NATAKA MUJUE YAKUA NINAYO YANDIKA HAPA NI UKWELI KAMA ULIVYO.

NAWAOMBA MUNIOMBEE ATAKAMA WATANINYAMAZISHA NIWE NIMEWAPA UKWELI KAMA ULIVYO

No comments:

Post a Comment