Thursday, 21 March 2013

LEADERSHIP AND INTEGRITY

       Hawa watu walitumia pesa kuvuruga katiba tuliopitisha sio hii sasa na tukicheza itamalizwa kabisa,simunakumbuka katiba

    CHAPTER SIX,Ilivyo vurugwa ili kuwafaidi mafisadi apa kenya,Wakati nisasa kuweka tofautiu zetu chini ili tuokoe hili taifa
  Watu kama Issack Hassan

  Ahmed Nasir na Abdukadir  si watu hawa tumewajua vizuri sana ukitaka kujua mtu si mwema muangalie je ni mtu wakusimama kwa ukweli au nimutu waku angalia maslai?

      Ahmed Nasir ndio alie kua aki "vetting" mahakimu na uyu uyu na anajua kua IEBC aikuendesha uchaguzi kwanjia ya haki na usawa yeye anakua kifua mbele kutetea hio IEBC

    Atakama ni wakili pesa zengine nizalaana

No comments:

Post a Comment