Saturday, 30 March 2013

Uhuru wa kutoa nakupata habari ni ya kila mkenya

     Tunawataka wakenya wote wajue kua kupata habari na na kutoa habari ni hali yetu sote wakenya ivyo basi
   
Serikali imekua ikizuia vyombo vya habari kutoa habari kwa kisingizio cha kuvunja amani

    Kama itazuiya wana nchi kupata habari iloyo rasmi tutatafuta habari zisizo rasimi,

Tusidanganyane kua eti wakenya hawajui kua vita ni mbaya na hawawezi kupigana lakini wadipo pata habari rasmi zitakuja habari zisizo za ukweli zikichanganikana na zaukweli ivyo mutakua nyinyi wenyewe ndio mumejiweka kwa sehemu hio mbaya.

   Kama kweli nyinyi siwatu wabaya kwanini hamutaki habari ifike kwawana nchi?

   Wana habari nikama hamujui haki zenu,nihaki yenu kutoa na kutafuta habari misitishwe ubaya ni kusema fulani apigwe lakini ukweli enezeni hizi juhudi ni zetu sote kama ujapewa pesa kupindisha ukweli ulivyo

No comments:

Post a Comment