Saturday, 30 March 2013

Raila Amollo Odinga nikipenzi cha wengi

Kenya watu wengi wanamupenda Raila Amollo lakini,Wakikuyu hawataki awe Rais kabisa,Kusema kweli Raila Ametutoa mbali na amesumbuliwa sana ni Wakikuyu na baadhi ya watu

No comments:

Post a Comment