Friday, 22 March 2013

Tufike mahali tukubali tuliko toka tunako elekea ni kugumu

         Wakenya lazima tukubali tuliko tolewa ni Raila Amollo tufike mahali tuseme ukweli kama ulivyo bila ya kuongeza wala kupunguza

        Ukweli nikua Raila ni waya hana esa kama wanao mupinga lakini sisi raiya,umma twaweza kumuokoa iwapo tutaeleza ukweli

        Nasio kwa facebook peke yake ni kila mahali walio wengi ni masikini ivyo amukeni namujue kua masikini usaidiwa na nguvu zake na tajiri na pesa zake.

No comments:

Post a Comment