Thursday, 2 August 2012

Peter Kenneth alizaliwa 1965 na shida tulizonazo apa Kenya ni za toka 1964 ametokaka kwa familia ya muhuni(mbari ya muhuni)National planning and vision 2030 Assistant minister,Ye hali yake bado naifanyia utafiti na ivi karibuni nitatoa kamili,Nazingatia sheria maandiko matakatifu ya kuwa usimusingizie mtu kitu.
Ukisema kitu uwe na ukweli nao nasihaki ya mtu kuongea juu ya mtu lakini kama kitu kinahusu jamii lazma uongee kwa faida ya wengi ivyobasi viongozi lazma tuwajadili kiundani zaidi ili kuepusha uongozi mubaya kama ule tumekuwa nao tangu 1964,
Nasimwengine ambae twafaa kumu laani ila Babake na Uhuru Mzee Jomo Kenyatta

No comments:

Post a Comment