Monday, 20 August 2012

Hassan isia zangu zanipelekea kuwa we rahisi sana kutazama mlima kenya au kubadilishwa kwa kutumia pesa.Usia wangu kwako,Jitengenezee sifa kama za mandela na sio kama za Jomo Kenyatta,Madiba, au ukipenda Nelson Mandela atakumbukwa milele daima kwa uzuri na Kenyatta atakumbukwa daima kwa kumumaliza J.M Kariuki,Tom Mboya,Pio Gama Pinto,Lakini ili uelewe Samuel Kivyuitu ndio uelekezo mzuri mikono yake ina damu za wakenya 1300 iyo kataa kubali nakutaadharisha mwenzangu simamia haki ilivyo usifuraishe binadamu yeyote na ushukuru  mshahara wako unao pata,

Najua umezungukwa na vibaraka wa mafisadi lakini mfuraishe MUNGU na usikubali kumufuraisha shetani simamia ukweli ili ataukiwa kaburini ukumbukwe daima milele kama mtu alie simamia uchaguzi kwa njia ya haki isio kua na upendeleo

Mal wa bani zinatul dunia al baki saliati ikiwa na maana mali na watoto nimapambo ya dunia yalio mema ni kutenda mema usirubuniwe kwa lolote.

Mafisadi twajua ndio wanao tawala toka 1964 mpaka waleo ukipewa pesa chukua lakini weka kando usizile wala kuchanganisha na mshahara wako.Lakini uchaguzi ukipita toa izo pesa kwa mayatima usilishwe moto Hassan.

Kwanini na kwambia uchukue hii nikua mafisadi serikali ni yao na watakufanya walivyo mfanya PLO Lumumba alitumiwa Besire,Na Nancy Baraza nae katumiwa yule mwanamuke.

No comments:

Post a Comment