Monday, 20 August 2012

Apa Samuel Kivuitu anatangaza kwa KBC TV ya Taifa matokeo,Uku akijua kwamba damu itamwagika,ivi mtu kama huyu umuelewe vipi?Umri wake siwaku'uwa binadamu zaidi ya 1300.Ngilu siku hiyo alimusii KICC achunge watu wasiuwane.Na akaenda kutangaza kwa idhaa ya KBC.
     Wakenya mimi si mjaluo lakini kutokana na historia ilivyo Raila ameangaikia Kenya hii sana na sioni ubaya yeye kupewa uongozi tena mumupe uongozi 80% ili atuonyeshe ufundi wake.
   Iwapo atakosa kutimiza yote alio tuahidi tunamtoa na kumuweka mtu mwengine.Wote nihaohao wabaya wetu na ushirikiana kwa kujiongezea mshahara na kutoa vipegele fulani zinazo walenga mafisadi.Lakini Raila tu ndio mtu ambae anaukweli kidogo kwakusema wazi kwamba hakuna uadui kwasiasa.
       Mapinduzi ya 1982 kama yeye aliusika mbona awaja mchukulia hatua apo mbeleni?Wabaya ni wengi ambao lao ni kupaka wengine matope.
       Tumuogope MUNGU na tuone ukweli ulipo,jiulize ivi kwanini wabaya wote wamekusanyika kumupiga Raila vita.
      Mwenye macho ambiwi tazama bali ujionea.Na siajabu Issack Hassan akawa zaidi ya uyu ogopeni mtu anae weka pesa mbele,muogopeni kama vile ugonjwa wa ebola unavyo ogopewa.

No comments:

Post a Comment