Monday, 20 August 2012

Mombasa ni mji jiji au iite utakavyo iita nimefanya utafiti wangu nikapata pwani yote wakua wakipitia unyanyasaji baridi tangu 1964.

Enda uko uulize Rais wa kwanza Jomo Kenyatta aliwafanya vipi na ukitaka ukweli kusanya watu si chini ya 100 wazee uwaulize walipitia yapi mikononi mwa Jomo Kenyatta.

Utawawa uzunikia kusema kweli, msemo wa "Pwani si Kenya "ndio unamakosa lakini madai yao yana ukweli asilimia 95% watoe ilo neno Pwani si Kenya tu ili wapate ungwaji mkono wa asilimia 100%

Cha ajabu vigogo serikalini wame kwenda mbio kuzima maamuzi ya mahaka kua MRC ni halali.

Twende mbele na kurudi nyuma mna Habari kua "Mungiki" ni kikosi kizima ambacho kina silaha kushinda askari wetu(polisi)?mnazo habari hizo au mumelala?Wale mnao waona wakionyeshwa kwa vyombo vya habari na mapanga na marungu sio uwa kunawengine wana bunduki na ata nguo za Polisi.

Na hakuna yeyote anae weza kuwa gusa kwakuwa wanabaraka za wakuu serikalini.

Mungiki aijanza leo wala jana au juzi ni kundi lilo anza miongo mingi ilio pita na kazi yao kubwa ni kuakikisha tumetazama mlima Kenya.

MRC Hawana silaha nana mpongeza jaji alio wapa ruhusa yakuunda chama chao.Hil wanalo liongelea ndio iloilo ambalo wanalo ila jamii fulani uongea mchana mengine na kupanga usiku mengine.

Naongelea wezetu hawa wakikuyu enda sehemu yote wako lakini kwao hawawezi kuku wacha ukakaa kwa imani,uo ni ukweli kataa kubali,

Chukuwa wakati wako utembee popote ulipo naujionee hii sio "hate speech" lakini ni ukweli ulivyo.

Nidungu zetu hakuna mahali wanapo kwenda lakini nivyema kuwajua hali halisi yao ilivyo ilitujiadhari nao ua na maneno matamu lakini kilicho moyoni mwao nikitu kingine ilo tambua.

J.M Kariuki sijui alikua vipi kwakuwa alipenda mema kwa wengine nae walimuuwa kwa ukatili wa hali ya juu,

Yasemekana J.M Kariuki kwa mikutano yakuchangisha pesa maarufu kama (Harambee)alikuwa akitoa kikweli na hali hii haikumupendeza Kenyatta iwapo kwa unafiki alijifanya kusaidia hivi mnavyo muona mama Ngina Kenyatta anavyo wafanya wamasai kumuona kua anawasaidia na hali niku wa danganya tu
kama nikusaidia angesaidia sio uchaguzi ukikaribia ila nikwa wakati wote MRC shikeni ya chama chenyu ondoeni neno pwani si KENYA baraka zangu kwenyu

No comments:

Post a Comment