Sunday, 11 March 2012

Wakulaumiwa kwa Bom lajani ni

Anae paswa kulaumiwa katika maafa ya jana katika kituo cha Mabasi yakwenda mikowani ni

1;Mimi
2;Wewe
3;Na Alie fanya icho kitendo
           Kwanini nasema ivyo,Kwa kuwa sote wakenya tunajukumu yakulindana.Nasote ni Polisi

Sina maana yakuwa twaweza jilinda au twajuwa kutumia silaha ama tuna sare za polisi,la asha nina maana yakuwa jambo upimwa na linapo tokea.
       
            Tukio lajana kwasehemu kubwa ni Raiya ndio walaumiwe twafaa kua wasaidizi wa serikali kwakutoa habari haraka ukiona chochote kile ambacho chaeza tishia usalama wamwezako bila yakuchelewa ukitilia watu fulani shaka toa habari kwa polisi.

            Siku izi kati ya wato mia kumi wana simu,iyo gari inayo semekana ilio kua nahao wauwaji mgepiga simu polisi apo kwa hapo au gari lenyewe lige zuiwa(block)na gari legine lolote hao watu wangekua mbaroni nawangesaidia serikali kutegua njama zao ambazo ziko jikoni.

            Serikali kama serikali haiwezi kulinda kila mtu nisisi popote tulipo tukawa macho nakutoa habari yeyote ile kwaserikali.

            Shukrani zangu kwa wote walio saidia majeruhi kwa hajali ya jana nyote nawapongeza kuweni na moyo huo huo.
          
          Wakenya tuweni macho na mutoe habari yeyote munao iyona sisawa kwa vyombo vya dola iliwachukue hatua,

No comments:

Post a Comment