Friday, 2 March 2012

Ukiwa na shida yoyote jipe moyo(ndio kitu nilicho eleza ndani apa click usome undani)

       Binadamu twataka tujipe moyo tunapo kumbwa na matatizo ya aina yeyote ile natumtegemee Mungu kama walivyo mtegemea Mungu watu wengi  kwakuwataja kimajina sitoweza kumaliza orodha nindefu ila nitolee mfano mja wa MUNGU ambae ametajwa katikabu vitakatifu zote viwili nikimaanisha biblia na kurani
     
       Uyu si mwengine ni Job ambapo maelezo yake yako kwa Job 1;1 mpaka 22/Job 2;1 mpaka 13 kwa ufupi soma JOB1,2,3,4,5,6,7,8,9 ZIKO MPAKA 42 kisa na mkasa wake ili ujue undani zaidi kwakua sivyema kuamini wanao jiita Masheikh na Maskofu kama mtu awezi kutaja wapi kitu kimeandikwa uyo usimsikize kabisa.
       Dunia siku izi imejawa na  uwizi na unyama wa hali yajuu na wengi si wote wanatumia jina La Mungu kuwalagai binadamu nzao.
        
       Palikua na mtu ajulikanao kwa Jina la JOB Ali ishi kwa mji wa UZ Ambae alikukua mcha MUNGU wakweli na alimtii kwa amri zake zote na halijiadhari asifanye chochote kibaya cha kumuudhi MUNGU.
       Alikua na mali chungu zima.

Mungu akamuuliza Shetani ulikua wapi na Mungu anayo habari yatunachofanya fikiria na kilichoko moyoni mwetu lakini alimuuliza tu ulishinda wapi leo shetani?

       Ibilisi akamjibu nimekua nikitembea huku na kule Duniani
Mola akamuliza je umemuona mjawangu Job?Akuna katika Dunia kama Job kwakunitii na kunia
abudu kama Job.
           Na uchunga asifanye madhambi.
Shetani akajibu je Job angekutii na kukuabudu kama hungemupa mali na kumlinda?
          Umekua ukimubariki Job kwa chochote akifanyacho,Hangekutii na kukuabudu kama ungechukua mali ulio mupa.
         Aya chochote alicho nacho kikokwa himaya yako lakini usimudhuru.
Shetani aka angamiza mali yote ya JOB
        Lakini Job akasema nilizaliwa nikiwa sina kitu na nitakufa bila kitu"I was born with nothing and I will die with nothing........"(job1;21)
           Kutokana na yote Job hakumutakana MUNGU.
IVyo Maringo na Wizi na ubaya pamoja na ukabila hauta kusaidia kwa chochote kile mali unayo umeikuta apa Duniani na utaicha  hapa Duniani sivyema kuirigia.
         Wala usiuzunike kupoteza Mali,Watoto na vitu vyengine huenda ikawa ni vituko tu vya shetani ambae ni adui alie wazi kwetu sote.
JIPE MOYO KWA YOTE UNAYO KUMBANA NAYO

No comments:

Post a Comment