Friday 2 March 2012

Dalili za kuangalia kabla uja funga pingu za maisha/kama utakua na maoni tofauti komenti apo chini ni kujadiliana kwafaida ya wengi swala la NYERI Limeibua mengi

1; Mtu akiwa muongo dalili mbaya
2;Mtu akiwa msiri dalili mbaya
3;Mwenzako akiwa hataki kukutambulisha kwa ndugu zake wazazi wake na hata marafiki zake iyo ni dalili mbaya.
4;Ikiwa hataki uguse simu yake dalili mbaya
5;Hakiwa na tabia ya kufuta sms's
6;Mtu akiwa ataki muonekane nae  hataki mutoke nae basi apo pabaya
7;Akiwa aongei mstakabal(maisha yenu ya baadae apa sipema
8;Yako mengine mengi lakini wacha nawe uchagie nisije nikamaliza yote

No comments:

Post a Comment