Thursday 28 February 2013

Ukabila hutoisha KENYA

Nasema haya baada yakufanya utafiti wangu kuhusu hali Kenya,1963 Rais wakwanza mzee Jomo

Kenyatta,Aliongea vizuri sana kuhusu ukabila.

Waweza pata hotuba yake kwa Facebook au Twitter jina(name) M Rajab Ndothya.

Tafanyali jionee hali ilivyo kua siku hizo na leo hazina tofauti Uhuru Kenyatta ni hodari wakuongea sana jukwaani laki ukweli ni kwamba ukabila umepandika sana apa Kenya kabila kwa makabila yote ukabila na uwaminifu haupo kabisa.

Watu upeana vyeo kwakujuana tu,

C.E.O Wa vijana ni mfano hai Susan Mongera (Youth Agenda C.E.O)
KENYA KUNA WALIO MUZIDI KWA MARIFA NA KWAMASOMO,

LAKINI KAPEYA ICHO CHEO KWAKUJUANA TU

NANIMETOA KAMA MFANO.

SIO UKABILA TU NI SOTE KENYA ATUNA UAMINIFU.

SOTE JAPO WAKIKUYU NDIO WAZI WAZI NA SIVIBAYA KUMUPA KABILA LAKO CHEO LAKINI MPE MUTU KWA SIFA ZAKE ZA UADILIFU NA MWENYE KUJITUMA

No comments:

Post a Comment