Thursday, 28 February 2013

Kupanga ni kuchagua

Kuna mambo ambayo Kenya lazima yapawe kipao mbele ili kuleta ufanisi miezi 3 ijayo papo kwa papo

wakenya tumechoshwa nishida

Kuna mambo mengine ayataki pesa kuyatekeleza mfano

watu kupandishiwa nauli ovyo ovyo kuna mtu ametupwa kutoka kwa matatu kwa kukosa shiling 20ksh na

akafa juzi tu na akuna yeyote alio chukulia atua na sio Kibaki ajui anajua lakini mtu akivunja sheria kwa asie kua rafiki au mtu wakaribu wake ajali

Hii ndio inaleta watu kuuwana ovyo

atawewe ukifanyiwa makosa nakuona sheria aijachukulia lazma uchukue sheria mkononi

TANA DELTA NA KWENGINE KWOTE NI SHERIA KUTOFUATWA VILIVYO NDIO WATU WANAUWANA OVYO INGEKUA OTHAYA NDIO TANA BASI HII YOTE ANGETOKEYA ILA

KWAKUA WATU WA TANA SIWATU NDIO MAANA WAMEWACHWA IVYO

No comments:

Post a Comment