Thursday, 28 February 2013

Taifa hili litajengwa na sisi wakenya

Kenya ni sisi tutajenga tukiwacha ubinafsi na ukabila sivibaya mtu kuweka sehemu ata ndugu yake lakini awe yeye ndio alie juu kwa sifa zinazo itajika zote.
1Awe muadilifu
2Muaminifu
3Mtenda haki
4Mkweli
5Asie na tamaa
6Muwazi
7Mumini(nakua mumini waeza kua ata kanisani au msikitini huwendi lakini vitendo vyako vyasema kweli wewe ni mumini)Sio mtu kila siku uko kanisani au msikitini na
WALA RUSHWA,MWIZI,MNYANG'ANYI MPINDISHA UKWELI WEWE UTUFAI KABISA

No comments:

Post a Comment