Thursday, 10 May 2012

Tusigonje Miujiza Sote tuwe "WAKWELI"

Utapata vitisho na vikwazo vingi ukiwa mkweli popote pale

Lakini nimuhimu kujipa moyo na kuendelea kuhubiri ukweli

Mara yote jambo jema upingwa kwa nguvu zote ni wanao faidika

kwa maovu yanayo endelea apa KENYA.

Na mafisadi utumia pesa zao walizo iba kwetu na kupindisha ukweli

Kama tujuavyo wakati wa Uchaguzi ukifika visa vingi vya mapigano

ya apa na pale ili wana siasa wapate fursa ya kurudi kwao ili waonekane

Wema msipotoshwe wakenya angalieni ukweli na musemi ukweli ulipo

Msibabaishwe sijui uyu kafungua chama ichi wala kile.

Wengi wamejificha kwa misingi ya CHAMA

Hilo kila mtu akae na ajue

1 comment: