Wednesday, 23 May 2012

Vyombo vya habari nivya MAFISADI

Vyombo vya habari Kenya vimemilikiwa na mafisadi karibu zote mfano mzuri ni K24

nia na madhumuni yao ni kuzidi kutawala ili kulinda mali walio iba

hakuna lingine ila hili la kupigia watu wao debe ili wazidi kushikilia sehemu muhimu

apa Kenya

wakenya washutueni wenzenu ili wajue ukweli ulivyo wasipotoshwe na vyombo vya

habari

wamefungua vipindi vingi vya kupumbaza wana nchi hii yote ni kutaka kuchota

akili zetu

kipindi kama "Crossfire" nazingine nyingi kuweni macho wakenya

No comments:

Post a Comment