Saturday, 19 May 2012

Kuuwa sote twajua ni dhambi

Hali ni mbaya mbovu sana apa Kenya na mbegu mbaya uzaa mazao mabaya

kwanini nasema haya nikua apa Kenya kuna watu wengi ambao wamepoteza

maisha kwasababu tu yakua wakweli

Watu kama J.M Kariuki,Tom Mboya,Ouko na wengine wengi ambao hatuwajui

lakini tukitaka kuwajua tutawajua

Tabia ya kuuwa uazia kwa kuwa na marafiki wauwaji

hali hii upelekea mtu kupoteza utu na kuweka pesa mbele

Nchi hii ya Kenya twajua ili anzishwa na kiongozi dhalimu muuwaji

na bila kusita najua uko aliko yupo pabaya kwani kutabiri

mtu wa motoni si vigumu

sote twajua dhambi ya kuuwa ni dhambi ambayo MUNGU peke yake ndio aweza kuivunja

MOI Akuwa mubaya lakini kwavile alilelewa ni Jomo Kenyatta basi hakua na budi

kufyata nyayo za Kenyatta

Ndio maana kwa uongozi wake tulimupoteza Ouko

Kibaki nae ndio mbaya zaidi hata wakati wa JOMO na MOI Aijawai kutokea watu kupotezwa ovyo

lakini kama tulivyo julishwa juzi sie bali ni Uhuru ndio muhusika mkuu wa MUNGIKI

Nyoto mwajua maelfu ya watu wame uwawa na hichi kikundi na hii ni kabla ya 2007

Ukweli ni rafiki ya muovu nae ni muovu,kesho mbele ya MOLA USISEME HUKUJUA

Simameni kwa ukweli ili tusiwe wakuabika mbele ya MUNGU

No comments:

Post a Comment