Wednesday, 9 May 2012

Mheshimiwa Boni Kalwaleh Simzima Akapimwe akili

Ivi kwa mutu mwenye akili timamu aweza kupanga kujionyesha kwa mazishi kua yeye ni zaidi kuliko wote,kitendo icho kwa mazishi akikubaliki na yeyote ambae upenda haki.

Aiwezekani mtu kupanga kwenda kutukanana kwa mazishi kama alivyo fanya Boni Kalwale

Wakenya jueni huu ni ujinga mtu kutumiwa ni watu kumutukana mtu huyu Kalwale anazidi kushuka dhamani kila siku

Waluyah si wajinga wao waona na wanajua kutafautisha na kusimama na ukweli.

Boni kalwale umepotea kama wataka sifa hutapata.

Kila hatua uchukuayo ni ya chuki na uo si uongozi.

Wakenya jueni kua kuna watu ambao ndio wanao uza hii KENYA Iwapo Kalwaleh aweza pokea pesa ili ashambulie mtu ni kitu gani kita muzuiya asiwe FISADI?

No comments:

Post a Comment