Friday, 27 July 2012

Ni nyinyi wana inchi ambao mwaweza leta mabadiliko 2013 apa kenya,uyu ni msichana Bi Ngilu ambae maneno yake utoa moyoni bila unafiki apa anatoa wito kwa wakenya kua hii ndio fursa pekee kwetu kuamua kuleta mabadiliko.Mabadiliko ambayo yata zuiya uporaji wa rasilimali zetu na kufanya kila mkenya kupata mlo 3 kwa siku na kulala kwa nyumba pia kupata matibabu na elimu ni haki ya kila mkenya.
Ivyo alitoa wito kwa wakenya waweke uzalendo mbele wasiweke uchama ili tuwe na kenya ambayo ni sawa kwakila mtu,Naamu nanikweleli maneno yake kwakuwa alipo kuwa mgonjwa hakuenda kutibiwa inje bali alitibiwa apa-apa.
Mafisadi wengi hua wanataka kutoa uhai wake lakini MUNGU NDIO UMULINDA,NIJUZI TU WATU WAWILI WALITUMWA KUMUMALIZA
LAKINI WALIPO FIKA SIPITALI

No comments:

Post a Comment