Monday, 16 July 2012

Corrupt in Kenya are regrouping to deny us change in 2013 tuwe wakweli natuseme kweli msiache vyombo vya habari ambavyo zimemilikwa na mafisadi zipotoshe umma tusimame kwa ukweli tutashinda haya majaribio,Mkiona watu Wanakusanyikia mtu mmoja mjue kuna sababu mbili ya kwanza amekataa kuwa kama wao,mi upenda kutoa mfano mliona MP Besire akitumiwa kumung'oa PLO Lumumba?
Mafisadi uwa na umoja na ufanya kazi kwa ushirikiano.
Niukweli usio fichika kua fisadi ukimunyima kula basi ugeuka nakuwa nyoka.Nautoa maneno makali sana kupaka alie mnyima hiyo fursa matope,nyote ni mashahidi wangu Ngilu alivyo shambuliwa alipo ona kuwa Kinyanjuri sijui Mwangi alivyo nyemelea kulamba pesa.
Mjue kuwa kuwa watu waeza kuwa nawewe lakin usiku wanakutana na maadui wako kukumaliza nani angefikiria kuwa MUDAVADI ALIKUWA AMEPANDWA APO NI MAFISADI?

No comments:

Post a Comment