Wednesday, 19 September 2012

Usiseme uongo

    Kuna watu wengi wacha Mungu ninawafahamu kua wanaishi apa apa Kenya lakini ukiwatembelea katika facebook profile unakuta amejiandiandika anaishi Ufaransa,UK na ata USA etc.
 
    Dhambi iyo yakutudanganya haitoshi kumupeleka mhusika motoni?

Siasa nimbaya na tunakusamehe wewe unae tumia iyo kama kinga ya usalama wako, lakini hawa wengine tuwaelewe vipi,nini kinakupelekea uikane nchi yako?
   Wekeni tarifa za ukweli ili umukatae shetani,waongo wote sehemu yao ni ktk ziwa la........malizia sio kila kitu nikulishe mimi(njia ya muongo ni motoni)

No comments:

Post a Comment