Wednesday, 19 September 2012

Kenya bado tuko nyuma

       Uchaguzi mdogo umeisha nana shangaa lini wakenya tutafunguka macho?ivi Kajiado hawa oni chochote kuhusu uchaguzi walioufanya?
       Ivi kweli tutawacha kununuliwa lini wazi kabisa uyo jamaa yuko mfukoni wa Uhuru ama kweli asie jua maana usimueleze maana

No comments:

Post a Comment