Wednesday, 19 September 2012

Mwakwere na Nyambura

Chirau Ali Mwakweri mahakama yatupilia mbali mashtaka yake ya matamshi ya chuki,hii ndio hali halisi ya Kenya hakuna libaya lolote litakupata ukia mmoja wa kundi la Uhuru,ni wazi kua hili kundi lina nguvu kupita maelezo.
      Wakenya kweli tutajikomboa kutoka mikono mwa mafisadi?


Ukweli unapinduliwa kua uwongo na uongo kua ukweli,wito wangu nitujitambue tumetoka wapi na tuko wapi na tunaelekea wapi.

No comments:

Post a Comment