Thursday, 20 September 2012

Kama unasema ukweli usiogope chochote

     Wakenya yatakiwa tusimame kwa ukweli kama ulivyo ni wazi kua tuko Kenya makabila 42 nasote twaweza kubadilka lakini ndugu zetu hawa hawawezi kabisa kubadilika na hatuna lakuwafanya walakuwapeleka wao ni ndugu zetu na si wengine ila ni wakikuyu.
     Mumeona wanavyo simama na Uhuru? Japo ICC ishagundua kua yeye ndio mkuu wa "MUNGIKI" Mumeona au amuoni?
     Mwenye macho hambiwi gundua  ila ONA

Nini kilicho pale mbele,tuelimishe jamii jamani ili ijue tuliko toka na tunako kwenda,tuwe kama wakalenjini wao huamua haki na ufuata mandiko matakatifu yasemavyo.

         2005 Hawakumusikiza MOI, Nakura za YES na NO Hawakumusikiza RUTO,Wao niwatu hufuata haki na ukweli ulivyo na hata Ruto hakuwa mwizi wa mahindi alishawishiwa ni kina Kamau na Njeri,

        Mafisadi mbinu zao ni kutumia watu walio karibu na watu wangwana ili kuwaharabia jina,nyote mulishuhudia Ruto kazi alio fanya aliposhikilia kilimo lakini Uhuru na kundi lake la mafisadi hawapuziki mpaka wakikishe utawala umebaki kwao,yeye na washirika wake,
       Pesa anazo vyombo vya habari viko mfukoni mwake kama si vyake na uongozi wake tumeuona,au hamukuona alipo mtoa mutula kilonzo na kumuweka wamalwa?

No comments:

Post a Comment