Friday 24 February 2012

Wivu ni kitu kibaya

Wakenya wezangu wivu nikitu kibaya kua nacho na upelekea watu kufanya mabaya ili waeze kubadilisha neema uliopewa ni mungu na wivu auja aza sasa uliaza  makarne mengi yaliopita na chakushangaza wivu mara nyingi uwa kwa wale wanao kujua na mifano iko mingi niki anza kuitaja apa sitoimalizila.
  Lakini kwakua apa ni paukweli lazma nitoe mfano ata kama ni mmoja.
Na nyote mwakumbuka hadithi ambayo iko kwa vitabu vyote viwili vya MUNGU ile hadithi ya nabii Yusufu.
  Yusufu sote twajua masaibu yalio mpelekea mpaka akauzwa misri kwa wanae bisha wa chungulie katika(Genesis37;12 mpaka 36)
  Ndugu zake Yusufu(Joseph)Walimchukia kwakua Baba yao alimpenda sana kuwaliko(Genesis37;3,4)kwakua yeye Yusufu alizaliwa ni Jakobo(Jacob)katika umri wa uzee.
     Ata waleo Babu na Nyanya upenda wajukuu wao zaidi kuliko ata wanao wakuwazaa.

Wao walinuia kumu uwa kwa wivu huo wakua kipenzi cha Baba yao Jakobo,Wakamuona Yusufu akiwa ana wajia kwa mbali waka nong'onezeana apa anakuja muotaji tumu uwe natumtupe katika kisima kilicho kauka alafu tutamueleza Baba kua kauliwa na mnyama mwitu ndio tuone ndote zake kama zitakua za kweli(Genesis37;18,19)
    Kisa chenyewe nikirefu lakini nia na mathumuni ya kutaja ichi kisa ni kuwakumbusha kua wivu upo ata waleo na yafaa tuchukue tahathari kwa wale tunao waita rafiki zetu au wanao tuzunguka tukiwa madarakani nitaendeleza kisa hiki....................baadae

No comments:

Post a Comment