Sunday, 26 February 2012

Minong'ono uchukiza MUNGU

     Sivyema mkiwa watatu wawili mkanong'onezeana au  mko watatu alafu wawili mnaongea luga ambyo mwezenu watatu haelewi sijambo jema hilo na MUNGU amelikemea kwa walio amini kua yuko muumba mbingu na ardhi.
     Ipo kwenye sura Al-Mujadilah aya ya 6,7,8,9,10

6;.........Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kila kitu(iwapo utamfanya mwezako kujiona mnyonge basi MUNGU anakutazama)Nanivizuri kabla ujamfanyia mwezako ubaya ukajiuliza je ingelikua mimi ndio yeye ningejisikia vipi?Linalo muumiza mwenzako usimfanyie.
         Nauenda mko 3 na mkawa mnaongea yenyu yasio muhusu uyo mlie nae apo na wala hamumsengenyi lakini  mara nyingi mambo yasiri uwa naubaya fulani umejificha ndani na usiri usiri ua na ubaya ubaya ndio maana mabaya mengi ufanywa kwa giza nasio mchana.

7;............Haupatikani mnong'ono wa watu watatu ila yeye huwa ni wa nne wao, wala watano ila Yeye huwa ni wa sita wao, wala wachache kuliko hao wala zaidi ila Yeye huwa nao popote walipo;kisha siku ya kiama atawaambia walioyoyatenda.Hakika Mwenyezi Mungu ni mjuzi wa kila kitu.

8;...........wabaya ujua hawako kwamabaya kwakua yao yanawaendea wanakula,kuvaa,kulala na maisha yao ni mazuri lakini jahanamu itawatosha hii dunia ni pepo ya wabaya,
           Wenzangu usijisikie mnyonge kwakua mgojwa,masikini hoe hae wala shida zinazo kukabili jua kua mingi uwa mitihani au majaribio.
          Yesu kristo(Issa)alijaribia ni shetani kwa mambo mengi sana alipo kua jangwani kwa siku 40 ambapo hakula chochote izo siku 40 ivyo ali ona njaa baada ya izo siku.
         Shetani akwamwambia kama wewe ni mwana wa Mungu amuru haya mawe kua mkate.
Yesu(Issa)akajibu,Mahandiko unena mtu hawezi kuishi kwa mkate peke yake.
        Kwa sekunde Shetani alimchukua na kumuonyesha mali na utajiri na kumuhaidi kua iwapo atamuabudu atamupa yote ayo
      Yesu akamujibu,andiko uneno muabudu MUNGU wako peke yake na mtumikie yeye tu.
Apo shetani katika mji wa Jerusalem akampandisha kwa mnara mkubwa na kumuambia jitupe na kwakua mandiko usema MUNGU atatuma malaika wakuokoe ata kabla ujagusa sakafu.
Yesu(Issa)akajibu mandiko usema usi mtie majaribuni MUNGU wako apo Shetani akashindwa.
       Kwanini ni mesimulia kisa ichi nikua wengi wetu ufikiri kua uzuri haulipwi lakini ulipwa na nivyema kulipwa uko juu mbinguni kuliko apa DUNIANI.
       Usijisikie vibaya kufanya yale MUNGU amehamrisha na usitarajie kua eti umefanya mazuri utabarikiwa apa apa duniani la hasha huenda ikawa malipo yako yako mbinguni               

No comments:

Post a Comment