Wednesday, 12 June 2013

Wenye hila siku zote hawabebeki,USALAMA NCHINI HAUPO.

    Wenye hila siku zote uwa na yao wamejifichia wakenya hali ya usalama umezorota kupita maelenzo,Watu wananyang'nywa mchana peupe apa Kenya.

    Je hii ni sawa? Haiwezekani watu kuibiwa mchana peupe hii ni njama ya serikali,Simu zinaenda mtu anapokonywa mchana Nairobi.

  Wakenya jueni kua kuna kitu kinaendelea,Na ukimya wetu utatumalinza

No comments:

Post a Comment