Thursday, 6 June 2013

Madharau akienda kisumu na Madharau alipokua akitoka kisumu

   Raila Odinga akuna asiemujua na serikali hii imevuka mipaka kwanza wamekua wakipora ushindi wa Raila,pili kumudharau nijambo la aibu na fedhea kwa serikali hii.

    Uhuru Kenyatta jambo hili la Raila kudharauliwa litakuweka pabaya ,Ukweli ni ulio wapa cheo waweza kukuangusha au kukujenga.

     Wao twawajua uwa na kichini chini sana lakini jambo likifanywa ni famili au shirika fulani sisi atutazami alio tufanyia.Tuna laumu kiongozi ,Baba au muhusika mkuu wa tasisi hio

Uhuru Kenyatta tunakulaumu kwa  100% Raila kuonyeshwa madharau

1.Akienda kisumu

2 Akirudi

Imemubidi Raila Odinga kwenda kukodisha Hoteli kugoja ndege ambao alikua aunganishe kwenda Afrika kusini.

Aiwezekani kua Rais hana habari,Ata usipo muheshimu sisi tutazidi kumuheshimu

No comments:

Post a Comment