Kila Kona ya KENYA NI KILIO CHA KUDHULUMIWA
Tuesday, 9 April 2013
Kama maombi si sehemu ya maisha yetu ni ukweli kabisa kuna hatari ya kuishi maisha ya unafiki
Kama maombi si sehemu ya maisha yetu ni ukweli kabisa kuna hatari ya kuishi maisha ya unafiki.
Na hii ndio sababu kuu ya sisi binadamu kuanguka katika majaribu ya kupewa pesa na kukubali kumupokonya mshindi ushindi nakumupa asiestahili kupewa
Na walio anguka kwa uwo mtahani ni Issack Hassan na Willy Mutunga

Mtenda dhambi ndie anaonekana mwenye akili na mtenda haki ndie anaonekana mshamba
Niwazi kua mtenda haki ndio uwonekana na wengi kua mshamba mtu asie kua na akili hali hii iko kwetu apa kenya,mtu kuingia kwa cheo kazi nikuiba nakuchukua na kupora
Raila ni Rais asie na kifani,nakuna mambo tutake tusitake lazima yaje kutimia kama hili la Raila Amollo kua Rais
Wakenya kuna mambo hayazuiliki kama hili la Raila Amollo Odinga ni Rais teyari
Kwanini Afrika ni masikini?
Afrika ina Dhahabu,Almasi,Chuma,Makaa ya mawe,Mafuta na hii nikutokana na mikataba ya kisiri kila kitu kikiwekwa wazi Afrika yote haitakua masikini.
Lakini kukiwekwa watu kama Amos Kimunya basi tutawekewa mikataba isio kuwa na maslai kwa Taifa na sikimunya peke yake nikila mwafrika aheshimu RASILIMALI ZA TAIFA NA ASIPEWE 10% Kuuza Nchi
Lakini kukiwekwa watu kama Amos Kimunya basi tutawekewa mikataba isio kuwa na maslai kwa Taifa na sikimunya peke yake nikila mwafrika aheshimu RASILIMALI ZA TAIFA NA ASIPEWE 10% Kuuza Nchi
Katika Jammi watu waovu ndio wanaosifiwa
Nikawaida kua watu waovu ndio uwa wanao sifiwa na sio wale wema apa Duniani kwakua uwa wamepewa nguvu ni shetani
Subscribe to:
Posts (Atom)