Thursday, 6 June 2013

Kabla ujafa akikisha umetenda mema apa duniani

Sote tutakufa akuna atakae ishi milele ukikuyu wako utakusaidia siku ya hesabu,Kila mtu atavuna alichopanda ikiwa ulipanda madharau utavuna madharau uko juu mbiguni.

Kama ulipanda fitina utavuna fitina

Iwapo ulipanda kudhulumu utavuna dhuluma

Kama ulipanda daraja "class" utavuna daraja lako wewe na unaoringa nao nyote

JUU KWA MUNGU AKUNA RUSHWA WALA MAPENDELEO HIVYO KABLA UJAFANYA LOLOTE JIULIZE MARA KUMI KUMI JE HILI NINALO LIFANYA KWA MUNGU NI SAWA

TENDO LA KUMUDHARAU BINADAMU MWEZAKO SITENDO JEMA,KATAA KUBALI

No comments:

Post a Comment