Tuesday, 9 April 2013

Mtenda dhambi ndie anaonekana mwenye akili na mtenda haki ndie anaonekana mshamba

     Niwazi kua mtenda haki ndio uwonekana na wengi kua mshamba mtu asie kua na akili hali hii iko kwetu apa kenya,mtu kuingia kwa cheo kazi nikuiba nakuchukua na kupora

1 comment:

  1. Shetani huwavutiwa wengi kwa sababu mlango wa kuingia kwake ni mpana, kuliko ule wa kuingia kwa Mungu.

    ReplyDelete