Thursday, 6 June 2013

Raila Odinga,Kudharauliwa tusikubali

   Wakenya baada ya kuvumilia yote aliofanyiwa Raila bado madharau yanaendeshwa na haya yote anafanyiwa kwa mupango ulio pangika ili kutafuta wapi watamumalizia.

    Wakenya Raila Odinga amefanyia nchi hii mambo mengi makubwa tusikubali yeye kudharauliwa kiasi hiki
tuzidi kumupenda na kumuenzi RAO

No comments:

Post a Comment