Thursday, 20 September 2012

Wanao neemeka kupitia mafisadi

     Yeyote anae muunga mkono mtu fisadi basi kuna neema anazo neemeka nazo kupitia ufisadi huo,mafisadi wako humu humu kwa jamii lakini nisisi wakenya ambao tutasema hapana mtu akiwa fisadi tusimupe sifa bali atengwe,wala hasiungwe mkono kabisa kwakua yeye anaturudisha nyuma wakenya.
     Ufisadi kenya ndio una yumbisha Taifa natukawa na wezi na waovu wote kwakua hakuna mtu atakubali kufa njaa huku akiona.
    Uwazi na uadilifu nikitu muhimu sana kuzingatiwa apa kwetu kenya

No comments:

Post a Comment