Uyu ndio alio kua ametumwa kumupaka matope Raila,akawa kama rafiki yake na Raila kwakua hana ukabila akamupa kazi japo alionywa na wengi asimupe kazi lakini akamupa lakini aikupita muda mrefu Raila akangundua njama zake na kumupiga kalamu.Tony Gachoka ana uchungu wakunywa simu au kujitupa kwa muto akiona kua kazi aliopewa ni mafisadi hakutimiza,kwakua RAILA alingundua mapema,
IVYO USIMSHANGAE KWA MANENO YAKE PUUZA YOTE,SI MKWELI,
IVYO USIMSHANGAE KWA MANENO YAKE PUUZA YOTE,SI MKWELI,
No comments:
Post a Comment